Wakuu salama? kuna yeyote aliyeomba AVN na akapata huu mwaka? je inalipiwa ama? maana naskia wanasema inalipiwa, but ukiingia kwenye system yao mtu unafanya regisrtaion hadi mwisho lakini hamna mahali wanadai kuhusu malipo.
Ahksanteni
shida ni kwamba unalipa wkt gani? maana wakt wa kufanya registration kwenye system yao mtu unafika hadi mwisho lkn hamna wanaposema kuhusu kulipia ndo maana sielewi
Unalipia pale watakapo kuwa wameshadhibitiaha vyeti vyako watakutaarifu kwa sms then utaingia kwenye account yako utachukuwa acont nambe utalipa utapewa contral namba