Kuweza kupata AVN inabidi chuo kiwe tayari kimetuma matokeo yenu NACTE , kwa waliomaliza mwaka huu issue inakuaga inasumbua sana usipokuwa makini unaweza ukashindwa hata kufanya usajili kabisa walio maliza mwaka jana na kuendelea inabid mpaka sasa hivi uwenayo AVN kama hauna ulikua unafanya uzembe na inaweza ikakusumbua sana, lakini good news kwenu ni kwamba matokeo yenu tayari yamepelekwa, shida ni kwa wale wa mwaka huu.