mpatto kwani
Joseverest anahusika vipi ni hii mada, na kama huna cha kuchangia uwe pita kwa kutulia na ni wakati muafaka wa uongozi wa
JamiiForums kudhibiti watu kama nyie mnao ongoza kuharibu mada za watu.
Turudi kwenye mada husika; Binafsi ningependa kuona mahakama inatenda haki kwa hao wanaoshutumiwa kuhujuma timu yetu wapewe adhabu kulingana na ukubwa wa makosa yao.
SIMBA SC NGUVU MOJA.