Automatic minimization of pc games.

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
tatizo na pc yangu ni kwamba inafanya minimization automatically lets say nikiwa .nacheza gemu lolote lile after some seconds linajiminize kwenye taskbar na ukirestore again it will repeat the same action tatizo hapo sijui ni wapi. Sambamba na hilo kwenye hii pc baadhi ya website tabs lets say sehemu ya kusearch mfano nimeiingia gsmarena and I need to search a certain phone, ile sehemu ya kusearch inagoma kuwa clicked. Thats what am facing right now, I'll be proud of you for your help. Thanks.
 
mkuu unatumia untvirus....mimi kuhusu gem zilikua zinafanya hivyohivyo ila baada ya kuweka untvirus zimeacha!
 
mkuu unatumia untvirus....mimi kuhusu gem zilikua zinafanya hivyohivyo ila baada ya kuweka untvirus zimeacha!
Ninayo mkuu AVG na pia ipo updated.
 
hata mimi nilikua natumia AVG bot kunamtu alinishaur nitumie kaspersky ambayo ndo ilimaliza matatizo yote,au kingine unaweza uka-unstall na kuinstall tena gem inaweza kukusaidia,,
 
hata mimi nilikua natumia AVG bot kunamtu alinishaur nitumie kaspersky ambayo ndo ilimaliza matatizo yote,au kingine unaweza uka-unstall na kuinstall tena gem inaweza kukusaidia,,

Wadau hakuna other options?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…