Mecky Hamphrey
Senior Member
- May 2, 2013
- 101
- 18
mbona ni hotelinWataalamu wa kunyoosha na kupiga magari rangi
Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil
0688767668/0715967107
Info@autogurugarage.co.tz
Gx110 ilikuwa white sasa ni black
Polish ni 50000 kwa ist, tuwasiliane kwa 0715967107mimi nina ist yangu nataka ipigwe polish,,,bei gani??
inaondoa skrachi zote au,,,naomba garanteeePolish ni 50000 kwa ist, tuwasiliane kwa 0715967107
Akikujibu nambiekama hutojali kupiga rangi gari nzima aina ya premio(new model) ni kiasi gani?
Inategemea na scratch imefika wapi, kama ipo kwenye layer ya juu ya clear inaondoka ila kama umechimba hadi kwenye rangi haitokiinaondoa skrachi zote au,,,naomba garanteee
Ni Rangi gani mkuu, kwa metallic ni laki5 premio new modelkama hutojali kupiga rangi gari nzima aina ya premio(new model) ni kiasi gani?
Ndio, picha imepigwa hotelini baada ya kazimbona ni hotelin
Sawa mkuu picha hizi hapaMecky Hamphrey weka picha ya baadhi ya kazi zako
Mecky Hamphrey weka picha ya baadhi ya kazi zako
Kuona kazi za Autoguru Garage tembelea hapaMecky Hamphrey weka picha ya baadhi ya kazi zako
Wataalamu wa kunyoosha na kupiga magari rangi
Tunapatikana Kinondoni Manyanya mtaa wa Brazil
0688767668/0715967107
Info@autogurugarage.co.tz
Gx110 ilikuwa white sasa ni black
Bei inaendaje mkuu
Either way inafanyika mkuuMkuu gari mnanyoosha au mnanunua panels/doors mnabandika? Mfano hio Rav4 mmenyoosha au mmebandika panels? Kama ingekuwa yangu sikubali inyooshwe
Bei inaendana na aina ya gari, rangi na damage kama ni ya ajaliBei inaendaje mkuu