sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Hivi hii serikali ni ya ajabu sana wanasababisha panic isiyo ya lazima tbc 1 leo walitoa wanachoita habari mpasuko(breaking news) eti tsunami inakuja saa moja na saa tatu usiku huu ni umbea tu vyombo vya hali ya hewa vinavyo heshimika duniani vimekwisha downgrade hiyo warning hawa kina kijazi wanasababisha foleni zisizo za lazima dar es salaam ama kweli hili ni taifa la majinga tena majinga kabisa