hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Hii thread ilikuwa inavutia, ila ilipoanza "msabato" ndipo udini unapotaka kuingia hapa. Ben Carson anafahamika kwa "inspiration stories", upasuaji n.k lakini hilo nililoliona ni doa mkuu.