Aunty ezekiel, mumewe na wageni wao, waalikwa lunch nyumbani kwa bi salma mgido huko dubai

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,147

Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pose nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo kwaajili ya chakula cha mchana




Kitu cha ndafu na madiko diko kibao

Rahma Aunty Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu huku waigizaji wenzake Aunty akiwemo, Ray, JB na Cloud walioenda harusini wakishuhudia tukio

Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo

Bi Salma Mgido (mwenye pink) akiweka mambo sawa

Mr & Mrs Demonte wakipata msosi

Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika shughuli hiyo

Cloud katika picha ya pamoja na Janja




Ray katika pose na shabiki wake

Le Familia Mashallah

JB katika pose

Katija, mumewe aka muarabu na mkewe na Ray katika pose




Mumewe Katija, wanae na Sunita pia walikuwepo

Bi Salma mama wa shughuli......
 
Ona hapa aunt ezekiely anavyoonekana mrembo tofauti na ile picha ya harusi makeup kama pakashume. She is so beautiful and she has a healthy skin.

Kila la kheri mama, ushauri wa ndoa.kachukue kwa lady jaydee.
 
Ona hapa aunt ezekiely anavyoonekana mrembo tofauti na ile picha ya harusi makeup kama pakashume. She is so beautiful and she has a healthy skin.

Kila la kheri mama, ushauri wa ndoa.kachukue kwa lady jaydee.

Huyo Jaydee yake yenyewe inapumulia mashine ICU.
Heri aje kwangu tu Le Be.
 
mbona simuoni Barubaru ina maana hawakumwalika! Au alikuwa Oman!?

Nilisikia huyo bint ni bint wa mchazaji wa Zamani wa Simba sports Club Ezekiel Greyson maarufu kama Juju men.

Kumbuka huku mialiko ni kitu cha kawaida sana hususan panapotokea wageni kwani tunaamini kuwa HAKUNA HATA MTU ALIYEWAHI KUFILISIKA ETI KWA SABABU ALIKUWA ANAKULA AU KULISHA SANA MASIKINI AU KUKIRIMU WAGENI.

pOLE SANA

 
tunaohitaji kueleweshwa tupo wengi, huyo aliyekatanae keki ndio mumewe? (bwana harusi) mbona ni mtoto kuliko yeye alafu he is not happy
 
tunaohitaji kueleweshwa tupo wengi, huyo aliyekatanae keki ndio mumewe? (bwana harusi) mbona ni mtoto kuliko yeye alafu he is not happy

Jamani niwatoe wasiwasi tu.
Mdogo wake Demonte wa 3 amezaliwa mwaka 1979,anaishi pale Uganda Street,Masaki. Na yeye (Demonte) ni wa kwanza kuzaliwa.
Sasa chakachua ubongo yeye atakuwa amezaliwa mwaka gani?
Ni Uandunje tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…