Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Ni kazi rahisi mno sana na hata haihitaji website but ni simple mobile app unatengenezewa na mteja anamaliza kila kitu kupitia hyo kitu kama upo serious ni check 0716385824
Hiyo application unauzaje?
Ni kazi rahisi mno sana na hata haihitaji website but ni simple mobile app unatengenezewa na mteja anamaliza kila kitu kupitia hyo kitu kama upo serious ni check 0716385824
Hadi kuihost kabisa ionekane Playstore itakughalimu tshs.100,000
Ni wakati muafaka tukawa na website yetu.
Malipo ni kutokana na bidhaa zote zitakazouzwa kupitia website hiyo kwa hiyo tunataka designer, developer, manager, marketeer na sales solutions amma mmoja amma watakaoshirikiana.
Wanaoona wanaweza au wana mawazo mbadala tubadilishane mawazo hapa.
Anaetaka kujuwa zaidi kuhusu hiyo bidhaa atembelee hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html
Asante
Zainab.
Mkuu kwa hili hauko sahii unaua taaluma za watu, sina hakika kama ww ni mtaaluma wa hiyo kitu bali mdandiaji android app ya personal Tsh 100,000/=????
Mkuu unatumia code za programing nizijuazo kudevelope hyo ktu au ndo wale wa WYSIWYG (wht yo see is wht yo get) unadrag tu templates na kukamilisha kazi??
Namasha na wewe kumbuka hzo language ni ngumu mf. java thn unauza kias hcho acha kuharbu fani za watu utafanya elimu hizi za computer zionekane kamasi, kama siko sahihi watakuja wanataaluma kamili wengne najua watakupinga pia yani bei hyo hata website ya kisasa hupati sanasana kias hcho ulchotaja ni charge ya maintance hasa pc tena kwa motherboad kama diodes zimekufa.
OMBI LANGU KWA MTOA MADA tafuta wahusika kamili wa fani hzo watakusaidia vzuri kwan hata hyo app ikikrash utasaidiwa kirahisi achana na vya urahisi wa bei kama huyu hawezi saidia ikikwama sanasana atakimbia na kuingi mitini
aliomba awe na web aseme ana budget kiasi gani.
Pia mimi hiyo laki moja imenistua, nakucheki soon.
Mkuu tumia uwezo wako Wa kufikiri vizuri mm ni exelent expert karibia language 9 za coding mkuu.kutokana na hitaji la mteja ni mechanism ndogo sana ya kusolve hiyo business prblm.
Mmezoea kuwa kalilisha watu programming ni ngumu wakat ni vitu vya kawaida kwangu ni mefanya project zisizo pungua 50.ungekua na busara ungeniuliza portfolia ya app nilizo tengeneza kisha hapo ungeni hukumu.anyways kama muhusika alikua anazingua watu its okey bt am serious bout this
Huku ndo nasema kuharibu kazi za watu na kuchafua taaluma za watu mkuu kwa maana maelezo yako yanaonesha unafanya kazi zozote za coding hujali ubora wa kazi unachojali ni pesa huu ni utapeli mkuu, hata logo tu kwa designers wazuri hicho kiasi hakikubaliki iweje kwa code languages??
Hii ni taaluma kama taaluma zingine mkuu acha kuharibu taaluma za watu zionekane hazina maana wala uthamani, SIKUBALIANI NA WEWE KATIKA HILI KIDOGO, naona kuna ulazma wa wana taaluma kuwa na chama ili kupinga utapeli wa namna hii
Sawa mkuu inaonekana mm ni tapeli.basi endelea kukariri na bei ulizo zoea kutozwa.
aliomba awe na web aseme ana budget kiasi gani.
pia mimi hiyo laki moja imenistua, nakucheki soon.
Ushauri wangu wa bure tafuta kampuni nzuri uingie nao mkataba watakusaidia achana na vya urahisi vitakusumbua
REMEMBER unaweza tengenezewa hiyo ya urahisi ikawa ina spy kazi zako na kutuma feedback kwa wahusika bila ww kujua mwisho wa siku wakahack na ukaibiwa, makampuni yapo mengi sana yanayoaminika yatayoweza kukusaidia vzuri na usijutie kamwe usipende android app kwa urahis wa bei zitakuspy na utaibiwa TAKE CARE
kuna hawa watu waliwahi nisaidia kazi za IT ofisini kwangu wanaitwa nordtech solution wapo mwanza ni wazuri sana niliwahifanya nao kazi wako vizuri wasiliana nao wanaweza kukusaidia kwa swala lako namba yao 0788597094
Asante sana kwa ushauri wako, naomba tazama vizuri offer yangu kuhusu hii kazi, nimeweka wazi kabisa post namba moja.
Ni offer ambayo kwa mtu anaejiamini kuwa anaweza itamuingizia pesa nyingi kila siku kuliko ambae atalipwa kwa kazi moja tu.
Mkuu usipende kuhisi vitu ambavyo hauna uhakika navyo nime nimefanya kazi na Fastjet,Zantel sijasikia malala miko bt ww mtu mmoja unakuwa na mashaka.sasa ww na kamati ya ukurugenzi Wapi nani awe na mashaka zaid
Mkuu usipende kuhisi vitu ambavyo hauna uhakika navyo nime nimefanya kazi na Fastjet,Zantel sijasikia malala miko bt ww mtu mmoja unakuwa na mashaka.sasa ww na kamati ya ukurugenzi Wapi nani awe na mashaka zaid