August 2010

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,239
Kwa tafakari yangu August 2010 huu ni mwezi maalum sana kwa wana JF wote, kwani nadhani ndiyo mwezi ambao wanachama wapya wengi walijiandikisha na karibu asilimia kubwa ya wanachama hao wanaitetea CCM kwa nguvu zao zote. August 2010 ina nini na CCM??
 
Toa takwimu na uzilinganishe sahihi na vyama vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…