Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,559
- 9,057
habari. kuna audio flani hivi nliwahi kiskiliza mwaka juzi ya kichekesho cha mkurya aliyewrong number kwa mdada asiyemjua then akamtongoza akakataliwa akaambiwa akate simu akakataa akaanza kutukanana nae kwa hasira, ni kichekesho flani hivi kitamu sanaaa the way wanavoongea dah hatarious. jamaniee mwenyenacho anitumie please