Audio:Jerry Muro akiwachana wasaliti vilaza wa Yanga

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,986
Hawachangii chochote but ni vihelehele balaa.
 
Attachments

  • record20160603094740.aac
    2.9 MB · Views: 83
Kuna jambo ndani ya Yanga ambalo Manji analihofia ndio maana anatumia nguvu nyingi kulizima n kupeleka peleka uchaguzi fasta fasta tena kwa vitisho n mikwara mingi
 
Kuna jambo ndani ya Yanga ambalo Manji analihofia ndio maana anatumia nguvu nyingi kulizima n kupeleka peleka uchaguzi fasta fasta tena kwa vitisho n mikwara mingi
Kwa hiyo haao wanaopanga kinyume na katiba wako safi/sawa? Umesikia Msumii, amekiri, kuwa ni sauti yake. Tuwe, wakweli, pamoja na mapungufu yake Manji,lakini jamaa kaifanyia mengi Yanga. Kzi kila mtu unaiona, hamna wizi wa kijinga jinga tena. Wewe tuabie unataka/mnataka nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom