philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Humpendi Rihanna? Huwa unawasikiliza kina nani wa kike?Simpendi Rihanna ila napenda vile Eminem anavyochana.
Napenda T.I akiimba solo.
HahaHiyo battle kwangu ngumu sana wote nawakubali
Yah Monster hatari. ulishawahi kusikiliza Guts over fear ya Eminem Chorus alifanya Sia weeee🙌🙌🙌I love the Way You Lie...Then Umeisahau "Monster" Na Chorus Aliinyonga Huyo Huyo Rihanna
Simpendi Rihanna ila napenda vile Eminem anavyochana.
Napenda T.I akiimba solo.
Hata hivyo sijui mtu unatumia kigezo kutompenda Rihanna kimuziki. Kama Rihanna ajui kuimba basi Dunia haina mwana mziki wa kike anaejua kuimba😀Humpendi Rihanna au sio fan wa Rihanna?
Maana ukisema humpendi inakuwa na maana tofauti sana.
😁Npo kote kote