Wakuu huwa nafanya voice overs, then someone hunisaidia kufanya editing. Kwa sasa nilikuwa nataka mwenyewe ili sauti ambayo inasikika, clear na ni high quality.
Nimefanya noise reduction, compression, equalization na normalization ila bdo
Nimejaribu kurekod kwa kutumia PC, na hizo ndo kelele nilizozpata.
Nahitaji mwenye ufahamu na hii program
ninachomaanisha sababu ni software ya sauti jaribu kutumia mic ya nje nzuri. jaribu hata kuazima kwa mtu wa karibu hata earphone nzuri zenye mic chomeka sehemu ya mic kwenye laptop halafu test
ninachomaanisha sababu ni software ya sauti jaribu kutumia mic ya nje nzuri. jaribu hata kuazima kwa mtu wa karibu hata earphone nzuri zenye mic chomeka sehemu ya mic kwenye laptop halafu test
Tatizo lako mic tu hakuna kingine, ukitumia mic cheap hata ufanyeje sound quality itakua mbaya tu, audacity sio magic bullet, ingekua magic bullet mic za bei ghali zisingekuwepo.