K kangesa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 551 Reaction score 1,065 Jan 29, 2024 #61 Mama mkwe kuna kitu alienda kulazimisha ili kuweka mambo sawa kwa upande wao
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 2,505 Reaction score 5,451 Jan 30, 2024 #62 Ugumu wa maisha unaleta frustrations sana kwa watu. Afya ya akili ni tatizo jingine kubwa sana ambalo tunapaswa kulichukulia tahadhari ya hali ya juu sana. Wapumzike kwa amani.
Ugumu wa maisha unaleta frustrations sana kwa watu. Afya ya akili ni tatizo jingine kubwa sana ambalo tunapaswa kulichukulia tahadhari ya hali ya juu sana. Wapumzike kwa amani.
Smotor JF-Expert Member Joined Jan 3, 2021 Posts 2,465 Reaction score 2,076 Jan 31, 2024 #63 Lee Yeon said: KATAA NDOA KATAA UHUNI NA USANII Click to expand... Ndoa ni uhuni tu. Ndoa tulijitungia sisi wenyewe. Kiuhalisia sisi ni wanyama kama mbuzi, kondoo mbwa n. K Imagine unaingia mkataba wa kulala na mwanamke/mwanaume mmoja miaka 50+...!? Haiingii akilini kabisa
Lee Yeon said: KATAA NDOA KATAA UHUNI NA USANII Click to expand... Ndoa ni uhuni tu. Ndoa tulijitungia sisi wenyewe. Kiuhalisia sisi ni wanyama kama mbuzi, kondoo mbwa n. K Imagine unaingia mkataba wa kulala na mwanamke/mwanaume mmoja miaka 50+...!? Haiingii akilini kabisa
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,742 Reaction score 14,928 Jan 31, 2024 #64 Hilo jina la kamanda: OTIENO. Nawaswas mimi....... mh