Mob Justice ni kile kitengo cha utesaji kule kambini ni noma unatwishwa kitu kizito tena kwa kutupiwa kichwa ukiwa umefungwa kamba ili usikipokee kwa hio kinakufikia tu kichwani na kichwa kinageuka chapati
Kuna wakati hiki chama cha kataa ndoa ni kama nataka kukielewa hivi 😎😎 daah yaani siku hizi matukio ya kuuana asilimia kubwa yamekua yakiwatokea wana ndoa tu..
Nasikia mwanaume alipitia ujeda...maarufu mtaani kama mjeshi..kumbe alishastaafu alirudi home...na hana rekodi mbaya..umri ni miaka 60 nk...kwa mujibu wa diwani wa kata ya Nala Yohana Masila...
Mtoto wa marehemu anasema kabla ya kufa mama yake alimwambia baba yake alikua anamnyanyasa...alikua akienda hapo home mama anampa malalamiko kuwa baba anamnyanyasa..kijana anasema ni wivu wa kimapenzi...kijana ana umri wa miaka 23 dereva boda boda..anasema ameshasuluhisha mara nyingi ugomvi wao...
Wengi wanao oa wana matatizo ya akili, unachukua mtoto wa mtu kwao kumbe ni mgonjwa wa mirembe , yani fala atae kuja kwa binti yangu mdogo akikua ajipange *****.