Au nna shida mahari

Una watoto mkuu? Au familia inayokutegemea?

Kweli watu tunatofautiana , mm toka nikiwa mdogo naumiza sana kichwa! Hadi muda huu
Niwekeze wapi na nimiliki vitu ambavyo uzeeni sitakuja pata tabu au kuwa ombaomba..yani nimiliki vitu ambavyo vitanilisha na kupata nitakacho kuanzia muda huu hadi uxeeni..

Pili ata nile vizuri vipi siridhiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes uko sahihi hatufanani huhuh

am better here
 
Low Maintanance. Umesahau tu kuweka umri wako Tangazoni.

And yeah kabla sijasahau, vipi chura yupo?

Nina mashamba porini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personality hiyo. Tafuta namna ya kuwa productive kwa kutumia hiyo personality yako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Badilika,usiwe hivo kwani utaishia kuolewa na kapuku,manake wanaume maskin na wasopenda gharama wanapenda type hizo,itazaa kizaz cha kimaskin kwani ukiolewa na maskin usitegemee mtatoboa ama jamaa akija zipata badae atakuacha akiona sio type yake.umaskin ni laana uepuke na ukemee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time uandike vizuri, hii platform inajulikana kwa watu kuleta hoja zilizonyooka, muandiko uliokaa vizuri nk. Sio vzr, bc, nardhka..hta. .WTF!!!
 
Kwan unafanya kazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Y so serious relax and take a chill pill....
Next time uandike vizuri, hii platform inajulikana kwa watu kuleta hoja zilizonyooka, muandiko uliokaa vizuri nk. Sio vzr, bc, nardhka..hta. .WTF!!!

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…