Au nna shida mahari

Tatizo unalo mpendwa.Yaan una dalili zote za ugonjwa unaoitwa Wife Material..Njia pekee ya kuponywa ni kuolewa..Umeshaolewa mpendwa..???
Hahaha bado mkuu nafac zipo wazi

am better here
 
Wote naona mnajizungusha, mimi jamani ishafunguka nahitaji nikuoe LUCKME yaani uwe mke wangu naamini uwezi kuniuliza habari za kazi gani nafanya wala ninadegree ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabsa mkuu wala cna makuu mie chochote kitakacho patikana me wala cna shida

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…