Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Siku za karibuni pengine na za usoni tumeshuhudia jk akiwa mkali kwa watendaji wake. Hapo nyuma hakuwa hivyo. Kuna uwezekano kabisa kuwa yale matatizo yaliyokuwa yakimuandama, Babu kayapatia suluhu hivyo kumfanya rais kuwepo kiutendaji zaidi kuliko kitiba na mapumziko zaidi. Hili lawezekana maana magonjwa wandugu tuyasikie tu. Jk fanya kazi sasa ila tusije kukusifia kwa mbio hadi ukapitiliza kwenu
Vipi Dr Padre Slaa akwenda kwa babu kutibiwa ule mkono wake
Vipi Dr Padre Slaa akwenda kwa babu kutibiwa ule mkono wake
Au niseme amekuwa 'mkali' kwa watendaji wake.Amekuwa mkali??? Amekamata mafisadi? Amewafukuza mawaziri au watendaji wake wazembe? Labda kama sijui maana ya kuwa mkali.
magufuli wanambana au yeye kawabana!??sasa mbona Magufuli wanambana?
Inasemekana Magufuli ni mbabe sana huko serikalin na ana roho ngumu. Wengine wana roho za nyama na huruma kwa wingi kama Pinda (hadi kulia bungeni), Lowasa (kuhurumia wafanya kazi wa umma, n.k.), jk (kumgombeza Magufuli) n.k, n.k...sasa mbona Magufuli wanambana?
Vipi Dr Padre Slaa akwenda kwa babu kutibiwa ule mkono wake
yan we ndo huna akil kbsa!! Kwan babu anatb wa2 waliovunjika?? Anatb kifafa, ukmw, sukar, presha, pumu n.k, ambavyo vyote mkwere anavyo na ndo mana aliwah kikombe! Sa nyingne ucpende kujiondolea akil kwa makusud, kwan km huna za darasan, hta za kuzaliwa pia huna? Pole yako!
Vipi Dr Padre Slaa akwenda kwa babu kutibiwa ule mkono wake