Natoaa wito kwa Wanazuoni, Wasomi na Wanaharakati ndani na nje ya Tanzania kwa kutambua mchango wa Mwl, hakika anastahili Ph.D ya heshima.
Kabisa kabisaaa kweli tupu
Huyo ni tapeli tu kama Mwingira au Kakobe, Wagalatia mmezoea kuabudu watu ndio maana mlidanganya ulimwengu kupitia babu wa Loliondo
Tuwe na tabia ya kubali wale tunaowaona.
Kama huwezi kumjaji mtu unayeweza ukamfuata mpaka ofisini na kumuuliza maswali na kuambia wazi hata kama ungefanikiwa kuishi enzi za Yesu au mtume Muhammad usingewakubali na ungekuwa ni kati ya kundi kubwa lililokuwa linawakejeli na kuwaita wachawi na waliochanganyikiwa.
Tusisubiri vizazi vijavyo ndivyo vitamke mema ya watu tunaoishi nao.
Tutakuwa hatuna tofauti na wale walioishi na manabii kwa kuwatukana na kusema mabaya kwao.Leo kwa kusoma historia tu tunajofanya tumewaelewa saaaana wale manabii ambao hata nafasi ya kuwaona hatukuipata.
Sina maana kuwa tusiwakubali manabii wa Zamani kwa kazi zao la hasha lakini nashauri tu kuwa hawa watu wa leo wanaotumia muda wao kuhubiri na kufundisha maneno ya mwenyezi Mungu tusiwakejeli kama walivyofanya watu wa zama hizo kwa kudhani kuwa walikua sahihi kwa kuwakejeli mitume na manabii.
.........ni Mgalatia peke yake ndiye anayeweza kukaa na akatukea mtu katika karne hii akamwambia 'mimi ni Mtume na Nabii' !
Kwani wao hawajui maana ya Mtume na Nabii !....:shocked: 1000 digits ...ni kama alivyodai Babu wa Loliondo kaongea na mungu !
Naweza sema ni Mrithi wa kweli wa marehemu Askofu Moses Kulola
Hivi unajua Mwakasege ni nani kwenye medani za uchumi wa kimataifa kwenye world bodies kama worldbank international monetary fund and united nation?
Unamjua Mwakasege ni nani kwenye uchumi wa hii nchi na Africa kiutendaji?