Atumbukia shimoni na kupoteza maisha baada ya Kutangazwa Kashinda

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Aliyekuwa Mgombea ujumbe CHADEMA baada yakutangaziwa kuwa ameshinda akawa anaelekea uani karibu na choo kulikuwa na shimo la choo ndipo alipodumbukia na mauti kumpata. Ndani ya shimo pia palikuwemo na maji. Tukio hili limetokea Katika Kituo cha Msalala Road,Geita. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Amen

Picha hii inaonyesha shimo alilotumbukia marehemu Bethar Nchimani Ngosha.
 

Attachments

  • shimo.jpg
    65.5 KB · Views: 6,089
RIP Kamanda. Umepigania haki ya Mtanzania mnyonge, lakini ndio hivyo. Kila nafsi itayaonja mauti.
 
Dah! Mbona haka kauchaguzi kameua wengi sana; kwa haraka haraka sio chini ya vifo 10. Sijui Oct. 2015 itakuwaje walahi na kiu ya mabadiliko iliyopo huku magamba waking'angana kutawala "milele". Sijui, nasema sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…