Huwa azifanani na pia garama huwa tofauti.nimeku PM uje unielezee kwanza unahitaji kwa ajili ya nini,ili tuweze kupa ushauri na garama as per your requirements.
Kwa website inategemea ni aina gani ya website, mara nyingi huanzia laki moja na kuendelea.
Kwa system inategemeana na ukubwa wa system na requirements zake.
Website na Management system huwa zinatofautiana kulingana na requirements husika za project yako. Hivyo ni vyema ukaeleza requirements zako katika hiyo website na system kisha ukapewa bei elekezi.
Kwa website na management system unaweza kunicheki inbox au kwa number yangu +255 759 019 408
Kwa ushauri zaidi na kazi.