Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Sep 24, 2017 #1 Akiingia kamanda inabidi usimame kama ulivyo Attachments soldier.png 199.8 KB · Views: 104
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,433 Reaction score 38,401 Sep 24, 2017 #2 Aiseee. Nimemuona yule
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,020 Reaction score 16,126 Sep 24, 2017 #3 Aiss...huo ndo ukakamavu
Àndres Alexis Member Joined May 13, 2013 Posts 88 Reaction score 43 Sep 24, 2017 #4 Hiyo movie kali sana mkuu....(Hacksaw ridge)
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Sep 24, 2017 Thread starter #5 Àndres Alexis said: Hiyo movie kali sana mkuu....(Hacksaw ridge) Click to expand... Ya ukweli sana mwana huyo jamaa aliyekuwa uchi hapo kwenye parade alijifanya kapinda kumbe huyo sajenti kapinda zaidi yake mshikaji alikimbzwa hivo hivo korodani wazi
Àndres Alexis said: Hiyo movie kali sana mkuu....(Hacksaw ridge) Click to expand... Ya ukweli sana mwana huyo jamaa aliyekuwa uchi hapo kwenye parade alijifanya kapinda kumbe huyo sajenti kapinda zaidi yake mshikaji alikimbzwa hivo hivo korodani wazi
Afisa Mteule Drj 2 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 3,961 Reaction score 4,663 Sep 24, 2017 Thread starter #6 Slim5 said: Aiseee. Nimemuona yule Click to expand... Wenzake kwenye Parade mikono ipo imekwa kikakamavu yeye kaziba mnara wake kamanda ingebidi amwambie asimame kama wenzake maana ameyataka mwenyewe
Slim5 said: Aiseee. Nimemuona yule Click to expand... Wenzake kwenye Parade mikono ipo imekwa kikakamavu yeye kaziba mnara wake kamanda ingebidi amwambie asimame kama wenzake maana ameyataka mwenyewe
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,567 Sep 24, 2017 #7 dogo masabato.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,420 Sep 26, 2017 #8 Okay noted
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,261 Sep 27, 2017 #9 Huyo ana mtelu tu..... ..