Atomic Bomb Test

Za bongo mbona hanna? Natarajia za Bongo ni hirizi nyingi na tunguli za hapa na pale.
 
Bongo tunaficha eti ni siri za jeshi,tunavyo vifaa vya kivita ila kuviona big noooo!!!!
 
Nafikiri hatuna chakujivunia kwani hatutengenezi siraha bali tunanunua nje kama russia,China n.k. Hizo tuliziangalia pengine ndo tulizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…