ATM za CRDB

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Mara nyingi inapofika saa 12 au saa 1 usiku ATM za CRDB na baadhi ya bank nyingine zinakuwa hazitoi service (sorry ATM closed) hali hii kwa kweli inaleta usumbufu maana inaenda mpaka taktibani saa 3 hivi ndo huduma inarejea. Na anayekuwepo mara nyingi ktk hizo ATM ni askari wa ulinzi either wa makampuni ya ulinzi au wa serikali ambayo wanatoa maelezo yanayo kinzana kati ya askari mmoja na mwingine juu ya ni baada ya wakati gani hasa huduma itarejea na ni kwa nn huduma inatoweka na kuleta kero kwa wateja ? Nikajaribu kufuatilia nikaambia huwa wanafanya mahesabu ya kutwa nzima hivyo wanafunga kwanza huduma nyingine za ATM, sasa mm naomba kama kuna mtu/watu walio wahi kuishi au kupata huduma za kibank ktk mataifa yaliyoendelea kama tatizo hili lipo? Na kama hakuna wao wanafanyaje? Ili hawa wetu nao wajifunze,au watume hata sms kuwataarifu wateja juu ya huu utaratibu ili watu wajuwe kama huo muda huduma hakuna au waende maeneo yapi ambako kuna huduma hii
 
Back
Top Bottom