Nimeingia kwenye ATM ya CRDB hapo buguruni sheli nikasikia harufu mbaya ya uvundo,nikajiuliza hii hali ya hewa vipi??nikaangaza macho nikaona buti za walinzi pale zinatoa harufu ya miguu ni balaa.
Ulisikia harufu, ukachunguza ukafahamu chanzo chake. Inakuwaje unasema ATM ya Buguruni inanuka? Kwani harufu ilitoka kwenye ATM?Nimeingia kwenye ATM ya CRDB hapo buguruni sheli nikasikia harufu mbaya ya uvundo,nikajiuliza hii hali ya hewa vipi??nikaangaza macho nikaona buti za walinzi pale zinatoa harufu ya miguu ni balaa.