ATM Victim

stopperjoseph

Senior Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
198
Reaction score
224
Is it true that typing your credit card code backwards at the ATM automatically signals to the police that you are the victim of an attack?
 
Ngoja waje wajuzi.
Sisi wa vijijini tumaweka pesa kwenye kopo..
 
Sina uhakika kama taarifa zinafika polisi, ninachojua ni kwamba ukifanya hivyo kadi inamezwa
 
Is it true that typing your credit card code backwards at the ATM automatically signals to the police that you are the victim of an attack?
Polisi hawahawa wa bongo ambao na wenyewe wakiibiwa simu wanaenda kwa mganga au polisi wa huko nchi za mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…