Mkuu swali lako lipo pana sana
Ila kama unataka kujua kuhusu mawasiliano ni kwamba ATM zinatumia internet ili kuwasiliana na makao makuu zipohifadhiwa data za kila acc ya mteja
Na ndio maana kukiwa na matatizo ya connection basi ATM haifanyi kazi
Kutokana na teknolojia kukua kila uchwao imekuwa ni vigumu sana kuhack na kuiba, kinachofanyika sana ni kufunga chombo kisiri katika ATM ili ikiingiza kadi yako chombo hicho kinakopi data za pamoja na password utakayoingiza kisha wanakwenda kudublicate kadi yako then wanavuta mkwanja wako
Hata hivyo njia hiyo imebanwa sana kwa sasa