Hatuangalii mpaka wapinzani wasikilizwe!
Hao unaowajumisha hapo ni wakina nan au labda mkeo na watoto wako..
hamna lotote nyie ukwata cjui ukawa..mnatafuta public sympath.nyie si mmekimbia tulieni basi..hata hao waliobaki tumewatuma kutengeneza katiba..msijifanye nyie ni bora kuliko wao.
Mnalilia serikali 3 si bora mngesema muungano uvunjwe nadhani mngeonekana wa mana..
we ni m.k.e m.dogo wa mapepo
tujenge hoja sio matusi watunzi wa katiba ni sisi wenyewe
We endelea kupiga porojo hapa..wakati huna hata senti ya kumnunulia mtoto wako biscuit..huku wenzio wakipiga porojo kama zako wakilipwa...hii ni Tànzania zaid ya uijuavyo
Hamna lotote nyie ukwata cjui ukawa..mnatafuta public sympath.nyie si mmekimbia tulieni basi..hata hao waliobaki tumewatuma kutengeneza katiba..msijifanye nyie ni bora kuliko wao.
Mnalilia serikali 3 si bora mngesema muungano uvunjwe nadhani mngeonekana wa mana..
mbona ma CCM nayo yanang'ang'ania serikali 2 ina maana hawataki muungano uvunjike nao hawana maana!