Ati wewe ungepanga vipi?

Kwenye wizara ya maendeleo ya Jamii ningeanzisha idara mbalimbali za kijamii na ningeteua wakurugenzi wa idara kutokana na sifa za makabila yao kama ifuatavyo; 1.Idara ya Harusi za gharama kubwa -Mchaga. 2.Idara ya Urembo- Mrangi 3.Idara ya mafunzo ya mahusiano ya ndoa-Mzigua. 4.Idara ya huduma ya chapchap ya kuduu - Mhaya.5.Idara ya Wafanyakazi wa Nyumbani(Housegirls) -Mhehe
 
Ningeanzisha Wizara ya Dini,Madhehebu na Imani,..af ningewapa Wanyakyusa
 
sasa hapo wizara ndo zingekufa kabsa,yaani wizara ya fedha umkabidh nani??
 
Wajita wangepewa wizara ya elimu. Mf.utamkuta mjita amepenga kalamu zaidi ya saba ktk mfuko wa shati lakini hajui kuandika jina lake.
 
Wazaramo wangepewa wizara ya ustawi wa jamii.
 
Wagogo Wizara ya Mambo ya Nje maana tungewatumia katika kuombaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…