Bongelinda
New Member
- Mar 18, 2009
- 4
- 1
Wow!! I got you right mama mia, why dont we be serious on this??? I am mangi from Rombo, as you said you tried four of them and no one satisfied you right?? can we make a deal and stop trying to go to bwengas first?Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale
Jamani wachaga nimekaa nao 4 hivi sasa namtafuta mhaya;hata kama wanaitwa
mafataki nijaribu...ahsanten sana kwa maoni yenu ila wachaga mmhhhh!!!1labda
Aje mangi mareale
Mapenzi ni utundu wa mtu.naomba jibu
Read between the lines.Mama Mia!
Kha sasa too much. Juzi ulikuwa na mpya,,,, majimaji cjui nini nini! Sasa wachaga eti hawajui mapenzi. What r u up 2 Mama Mia. Mie nadhani unafanya research fulani kuhusu haya mapenzi. Anyway wacha nikwambia UTAMU WA NGOMA UINGIE UCHEZE! Tafuta jamaa la kichagga halafu lipatie uone. Utatujibu hapahapa.
tena wengine tukaomba bahati hiyo ituangukie sisi ya kunyunyiziwa hayo MAJI.
Bonnie na Burn kwani nyie ni wahaya? Mama100 amesema kwa sasa anahitaji wahaya. wahaya jitokezeni kwa mama100 mkanyunyiziwe maji
Me namuunga mkono Kiunyajibu kule mwanzo amesema mapenzi ni sanaa(art) Na isitoshe siku hizi wachaga wengi wameenda shule na wanajua mapenzi. Mama mia wewe unaoneka unapenda kutesti kila chakulae?
MAMA MIA,si unataka muhaya?nimekuomba VITAL STATISTICS,zako nione kama unalipa,bado nasubiri jibuRead between the lines.
Mama hundred alipata jamaa wa kichaga.
Huyo jamaa akawa analalamikia majimaji ya mama hundred.
Mama hundred akawaconsult wanaJF,tukamwambia kuwa HAYO MAJIo ndiyo HASWAAAAA yenyewe ,tena wengine tukaomba bahati hiyo ituangukie sisi ya kunyunyiziwa hayo MAJI.
Ndipo mama hundred kujua kumbe MAJI HAYA dili.
Sasa anahitimisha kuwa HUYO MCHAGA HAJUI MAPENZI KWA KUSHANGAA HAYO MAJI.Teh...teh....
jamani nimeshakiri shemeji zangu wako njema;tatizo kama ulilosema hapo juu na kwenye michango yenu mkanishauri niende kanda ya ziwa jamani nimesema nikatest mhaya....kwani ubaya!!!??