mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Mtajwa hapo Juu ndie kinara wa kundi analoliongoza kuvamia viwanja Na mashamba huko Bunju Na Mabwepande.
Bw.Athumani Mnubi amewauzia watu wengi maeneo aliyovamia Kwa mfano kule Bunju kwenye mradi wa viwanja 20,000 kuna maeneo ya wazi yaliachwa. Hivi karibuni aliongoza kundi la wavamizi kuvamia Shamba la Mh.Sumaye na kusaidiwa naviongozi wa kata Na serikali ya mtaa wa Mabwepande.
Bw.At human Mnubi alikili kuvamia shamba hilo mbele ya Mkuu wa Wilaya Bw.Makonda kabla hajateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa.Tunaiomba serikali iwakamate wavamizi hawa wanaofahamika kwani wanahatalisha usalama.