Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Nawasilimu kwa jina la muungano,
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuona mabadiliko ndani ya chama chetu yamefanyika kwa weledi na hakika mabadiliko haya yameleta demokrasia ya kweli ndani ya chama
Ndugu zangu mama katufikia na mama tunampenda kwa kutuletea katiba ambayo matunda yake yameanza kuonekana kwa Wana CCM na watanzania wote kwa ujumla
Leo nimebubujikwa na machozi baada ya kuona ndg yangu Athuman issa kateuliwa ubunge viti maalum arusha ni furaha ya kweli ambayo siwezi kuelezea ni kiasi nafurahia ndugu zanguni
Hakika chama chetu ni mfano wa kuigwa na vyama vyote vya TANZANIA kwa demokrasia hii tuliyo nayo ndani ya chama chetu hakika tumeonesha kuwa sie ndo chama komavu TANZANIA katika demokrasia ya kweli
Niwatakie ijumaa njema ndugu zangu