Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

niambieni na hii gari yetu landcruiser prado SKZ ENGINE DIESEL, alafu ni TURBO, niliifungua speed 140 hadi gari inapiga mluzi, na tyre zikitanuka kwenda nje,, nilivipita visubaru na vialtezza, kama napita baiskeli tu. sijui hiyo athlete crown kama ingenikamata kwa kweli.
Mkuu usijaribu kuliendesha hilo prado kwa spidi hio sio gari stable kabisa kwanza lipo juu juu
 
Hiyo gari mwisho speed 180 ikifika 140 inatetema hamna kitu kwa ford kuga speed 180 gari ipo very stable au vw ndogo tu hz polo
 
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss

Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Ha ha,, haina noma big broo,, hyo ni Tuareg na ilikuwa na haki ya kuwaacha na msiione tena asee
 
hiyo crown ina spidi ya kawaida sana mkuu,mwenye brevis hapa aje aweke ushuhuda,kuna jamaa yangu ana hiyo crown nishafanya nae sana ligi na brevis hajawahi kunikamata....nashangaa brevis mmeiweka kando,bado hamjakutana na gari zenye kasi eeh?
 
Crown gari stable ila haina mbio,ukiwa na rangerover na unatembea,hiyo crown haitaona umepita wapi,vw bmw,benz,audi, hizo ndio gari,hiyo ingine ni jaguar sasa amua mwenyewe
IMG-20180516-WA0000.jpg
IMG-20180515-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom