Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
hivi kwanini hapo red hapakosagi wadau...kila impact inayotokea hapo kama kawa lazima pahusike!!! mbombo ngafu!!Usingizi ni moja kati ya starehe kubwa duniani ila piA ni kinga dhidi ya magonjwa.imefahamika kuwa watu wengi duniani hawa lali kwa wakati kutokana na mihangaiko ya kimaisha kwa kawaida binadamu anatakuwa alale masaa 8-9.
hizi ndizo athari za kuto lala kwa wakati;
-shinikizo la moyo.
-ugonjwa wa kisukari.
-hasira za mara kwa mara.
-kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria.
-upungufu wa nguvu za kiume.
JIULIZE WEWE UNA LALA MASAA MANGAPI?
Kwa hisani ya BBC swahili.
Kesho saa 11 alfajiri niko barabarani kwenda sokoni kuuza samaki na mpaka ss hv saa 8 usiku sijalala..
silali mapema na hayo matatizo yote sina
We mbona hujalala..,Watu hawajalala tuu duu
Watu hawajalala tuu duu