Hapo mi nakuelewa mzee .Ni noma kujificha kwenye mgongo wa kiswahili kwa kushindwa kingereza kwa kutumia meno uzalendo.Tatizo ni uongozi mbovu. Mzee wangu aliishia darasa la sita lakini alikuwa anaandika na kuongea kiingereza na watu wa mataifa mengine bila taabu.
Baada ya kuharibu elimu kiasi kikubwa wamefanya kuwa suala la kisiasa. Eti Kiswahili pekee ni kipimo cha uzalendo. Na Kiswahili chenyewe hakifundishwi vizuri. Kimeharibika sana. Matumizi ya l, r, tabu. “Hana” inaandikwa “ana”! Halafu wamefundishwa dawa ni “kujiamini”; yaani kuwa wabishi kufa wakikosolewa. Kujitetea na “uzalendo” bila kujali kuwa wanaangamizwa kwa kukosa fursa.
Kujua lugha nyingi za kimataifa ni faida. Kuna watu toka DR Congo wana nyadhfa katika serikali za Afrika ya Kusini, US, Uingereza. Walisoma shule kwa kifaransa lakini wana kiingereza cha uhakika na Kiswahili pia.
Tanzania hatuna teknolojia wala utajiri wa machapisho ya taaluma kwa Kiswahili. Hatulingani na wachina, wafaransa, wajerumani, warusi. Na hao wengi wanajua lugha za kimataifa zaidi ya moja. Wengi kiingereza wanacho ingawa sio lugha yao ya kujifunzia. Wanakitumia inapobidi.
Unapinga hata jambo la busara kama hili hizi akili za ccm zinatabu sana.Utumwa na mawazo ya kitumwa ni mzigo.
Una uhakika Japan hawaongei kiingereza.Kiingereza ni lugha Tu kama lugha zingine tatizo ni exposure tu
Hebu uwe kabila lolote hujui kiingereza uzamie Kwa wanaozungumza kiingereza tu uone kama hutajua.
Kuna mataifa yaliyoendelea kama Japan , urusi, German, China ,nk yanafundisha kilugha Chao na sasa yameendelea kuliko Sisi ma half cast wa lugha
Umesema "Mataifa yaliyoendelea"...sisi hatujaendelea bado ni tegemezi hivyo basi Kingereza ni muhimu Sana tena Sana ili tuweze kueleweka Na kuwaelewa wengine....Kiingereza ni lugha Tu kama lugha zingine tatizo ni exposure tu
Hebu uwe kabila lolote hujui kiingereza uzamie Kwa wanaozungumza kiingereza tu uone kama hutajua.
Kuna mataifa yaliyoendelea kama Japan , urusi, German, China ,nk yanafundisha kilugha Chao na sasa yameendelea kuliko Sisi ma half cast wa lugha
Kuongea kiingereza sio utumwa!?? Mluokimbia umande acheni ujinga!? Nyerere aliijua vizuri hii lugha alijua mtumwa!?? Tatizo watanz wapumbavu ni wengi hasa huko chamaniUtumwa na mawazo ya kitumwa ni mzigo.
Hahahaaahaaaaa wewe utauwawa shauri yakoTatizo ni kwamba tuna watu wenye IQ ndogo sana. Uthibitisho mojawapo wa low IQ ni kutofundishika. Mtu amesoma English akiwa primary, secondary, high school, bachelor degree, masters degree, mpaka PhD. Huko kote anasoma Kiingereza lakini bado haelewi!
Miaka ya hivi karibuni, ilikuwa ya maajabu zaidi. Nilikuwa sijawahi kushuhudia PhD holder aliyesoma kwa miaka yote kwa Kiingereza lakini hawezi kuongea Kiingereza.
Sasa wewe unajilinganisha na hao uliowataja!?? Hivi kwann ccm mnaogopa kiingereza hivi!??Ujerumani na Japan ni nchi zenye teknolojia kubwa duniani na hawatumii kiingereza katika mitaala Yao yote na hata Kama lugha ya Taifa , Taifa imara ni lile linalosimamia misingi yake kuanzia kuwa na lugha yake wenyewe ukisema tuhamasishwe kutumia kiingereza ina maana unaturudisha katika utumwa wa kifikra na kuendelea kujiona dhaifu Kwa kudharau vitu vyetu
Hivi mmwmuelewa mtoa mada!??Fact mkuu, issue hapo ni exposure tu, l
Tatizo hujui kiingereza ndio maana unakichukia!!! Na sio wewe tu mpo wengi!!! Mtia mada ametaja athari za kutijua kiingereza vizuri wewe unaleta mambo ya kukinganisha !!! Hivi milsomea wapi!?Zambia,Malawi,Kenya,Ghana wanaongea kingereza sana tu. Je wametupita nini katika maendelea ya kiuchum,sayansi na teknolojia?
Kinachowasumbua ni utimwa wa kifikra, huu ugonjwa kumtoka mwafrika ni kazi sana.
Wkati wewe unawaza kingereza kuna waafrika wenzio wanawaza kifaransa kifundishwe vizuri lakini kuna wengine wanawaza kireno bila kusahau kiarabu.
Ni ukoloni tu unaowasumbua watu weusi hakuna kingine.
Madhara ya Kutokipa Kiingereza Umuhimu
Siku hizi nchi yetu ina tatizo la wananchi wengi kutoweza kuandika na kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza. Kiuchumi, TAZIZO HILI SIYO HIMILIVU.
Adhari zake ni pamoja na zifuatazo:
1. Kukosa ajira za kimataifa. Nchi kama Uingereza inakuwa na upungufu wa manesi mara kwa mara. Wanaajiri toka Malawi, Kenya na nchi nyingine ambazo raia wake wanamudu lugha ya Kiingereza.
Mashirika kama Emirates huwa yanahitaji waajiriwa wachache wanaoweza kuongea Kiswahili na Kiingereza. Huwa wanaajiri Wakenya kwani wana hiyo sifa.
2. Kukosa ajira nchini. Nyumbani kwenyewe mashirika binafsi wanapenda zaidi wahitimu waliosoma nje kwani wao humudu lugha zote mbili.
3. Kukosa fursa za kusikika ulimwenguni. Mashirika ya habari kama Aljazeera na BBC World service wanapotaka kuongea na mtu wa Afrika Mashariki, kwa Kiingereza, huwa hawachagui Mtanzania. Wataongea na mwalimu wa chuo kikuu Mkenya au Mganda. Hii inafifisha umaarufu wa vyuo vyetu. Vinashuka kwenye viwango rasmi vya ubora duniani.
Ukiweka YouTube kitu kwa Kiswahili maana yake unakilenga kwa watu milioni 200. Ukiweka kwa Kiingereza basi umekielekeza kwa watu zaidi ya mara tano ya hao.
4. Kudumaza elimu. Reading materials mtandaoni sehemu kubwa ni za Kiingereza. Mtu asiyeelewa vizuri Kiingereza tayari anajinyima asilimia kubwa ya maarifa yaliyopo duniani.
5. Kudumaza utalii. Kutosikika kimataifa kunatunyima watalii wengi. Pia wachache wanaokuja wanajikuta hata watu wa uhamiaji na polisi hawawezi kuzungumza nao kwa Kiingereza.
Miaka ya sitini tulikuwa vizuri tu kwenye Kiingereza. Mhitimu wa shule ya sekondari alikuwa anabidika kufaulu Oral and written English.
Napendekeza kwamba:
1. Interview za ajira serikalini zizingatie uwezo wa kusema na kuandika Kiswahili na Kiingereza. Kumudu Kiingereza iwe a condition for employment of ALL civil servants.
2. Kuwe na sera ya wanafunzi shule za sekondari kuongea tu Kiingereza wawapo shuleni. Hii haitadhoofisha Kiswahili kwani watakiongea sana nyumbani na mitaani.
3. Kufaulu kidato cha nne iwe ni pamoja na kufaulu Oral English. Mitihani yake itasimamiwa na shule kama ilivyokuwa miaka ya sitini.
Kama lugha hii ya kizungu sio nzito na muhimu,kwanini inapingwa sana,kusisitiza kizungu sio Kudumaza kiswahili.Kama bado mawazo yetu yapo mufilisi ivi, tatizo la ujinga Tz haliwezi kuisha, haiwezekani kwa mtu anayejielewa kuamini katika lugha ya kiingereza ndio kuwa imara zaidi huu ni ujinga ulioendelea, lugha si kigezo cha kupima contents ya mtu alizonazo kichwani kiingereza ni sawa na lugha nyingine..
Magufuli aliwaambia watembee kifua mbele na kiswahiliSasa,wewe sikiliza Mabongo yaliyofeli Kingereza yatakavyokujibu hapa!
Kingereza hayajui,Kiswahili na chenyewe hayajui,utasikia "shure","mbadara","halakisha",etc
Yaani professional emails majinga yanaandika hadi Kihaya na Kiswahili kabisa...yaani nchi hii aisee ni janga
Sijui kwanini kujua lugha zote kwa usahihi isiwe pride yetu....Mavivu utasikia "Kiswahili" tu..useless kabisa!
Yaliendeleaje unadhani yalikumbatia lugha zingine ndo yakaendeleaU
Umesema "Mataifa yaliyoendelea"...sisi hatujaendelea bado ni tegemezi hivyo basi Kingereza ni muhimu Sana tena Sana ili tuweze kueleweka Na kuwaelewa wengine....
Pambania hali yakoMadhara ya Kutokipa Kiingereza Umuhimu
Siku hizi nchi yetu ina tatizo la wananchi wengi kutoweza kuandika na kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza. Kiuchumi, TAZIZO HILI SIYO HIMILIVU.
Adhari zake ni pamoja na zifuatazo:
1. Kukosa ajira za kimataifa. Nchi kama Uingereza inakuwa na upungufu wa manesi mara kwa mara. Wanaajiri toka Malawi, Kenya na nchi nyingine ambazo raia wake wanamudu lugha ya Kiingereza.
Mashirika kama Emirates huwa yanahitaji waajiriwa wachache wanaoweza kuongea Kiswahili na Kiingereza. Huwa wanaajiri Wakenya kwani wana hiyo sifa.
2. Kukosa ajira nchini. Nyumbani kwenyewe mashirika binafsi wanapenda zaidi wahitimu waliosoma nje kwani wao humudu lugha zote mbili.
3. Kukosa fursa za kusikika ulimwenguni. Mashirika ya habari kama Aljazeera na BBC World service wanapotaka kuongea na mtu wa Afrika Mashariki, kwa Kiingereza, huwa hawachagui Mtanzania. Wataongea na mwalimu wa chuo kikuu Mkenya au Mganda. Hii inafifisha umaarufu wa vyuo vyetu. Vinashuka kwenye viwango rasmi vya ubora duniani.
Ukiweka YouTube kitu kwa Kiswahili maana yake unakilenga kwa watu milioni 200. Ukiweka kwa Kiingereza basi umekielekeza kwa watu zaidi ya mara tano ya hao.
4. Kudumaza elimu. Reading materials mtandaoni sehemu kubwa ni za Kiingereza. Mtu asiyeelewa vizuri Kiingereza tayari anajinyima asilimia kubwa ya maarifa yaliyopo duniani.
5. Kudumaza utalii. Kutosikika kimataifa kunatunyima watalii wengi. Pia wachache wanaokuja wanajikuta hata watu wa uhamiaji na polisi hawawezi kuzungumza nao kwa Kiingereza.
Miaka ya sitini tulikuwa vizuri tu kwenye Kiingereza. Mhitimu wa shule ya sekondari alikuwa anabidika kufaulu Oral and written English.
Napendekeza kwamba:
1. Interview za ajira serikalini zizingatie uwezo wa kusema na kuandika Kiswahili na Kiingereza. Kumudu Kiingereza iwe a condition for employment of ALL civil servants.
2. Kuwe na sera ya wanafunzi shule za sekondari kuongea tu Kiingereza wawapo shuleni. Hii haitadhoofisha Kiswahili kwani watakiongea sana nyumbani na mitaani.
3. Kufaulu kidato cha nne iwe ni pamoja na kufaulu Oral English. Mitihani yake itasimamiwa na shule kama ilivyokuwa miaka ya sitini.
Rudia kusoma ueleweUna uhakika Japan hawaongei kiingereza.
Mkuu, bado una energy za kubishana na negative minds... Kiingereza ni lugha muhimu periodMwehu kabisa wewe
Nani amekuambia tunataka ujue Kingereza ndio kigezo cha ubora wa content kwenye bongo lako bovu hilo?
Tunataka kutumia Kingereza kama "nyenzo" ya kupambana na walimwengu upate unachotaka kwa urahisi na wingi
Yaani ukishaongelea Kingereza tu,stupid people like you mnadhani tunazungumzia una akili kiasi gani na mnaanza kujiharishia...
Kama kweli wewe unapenda Utanzania hasa,tuna lugha 350,unajua hata mojawapo hapo kwa ufasaha hata ile ya kabila unalotoka wewe?HUJUI
Tupo duniani,ni uwanja wa vita,nyenzo ya kushinda vita ili upate unachotaka kwa walimwengu ni Kingereza na sio Kiswahili wala Kichagga
Stay in your place and shit on yourself you dummy!
Umenikumbusha juzi kwenye taarifa ya habari ITV SUPER BRAND mtangazaji akisoma habari ya polisi kukamata bunduki aina ya Raifo (Rifle) yeye akaisoma kama ilivyo Rifile!Madhara ya Kutokipa Kiingereza Umuhimu
Siku hizi nchi yetu ina tatizo la wananchi wengi kutoweza kuandika na kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza. Kiuchumi, TAZIZO HILI SIYO HIMILIVU.
Adhari zake ni pamoja na zifuatazo:
1. Kukosa ajira za kimataifa. Nchi kama Uingereza inakuwa na upungufu wa manesi mara kwa mara. Wanaajiri toka Malawi, Kenya na nchi nyingine ambazo raia wake wanamudu lugha ya Kiingereza.
Mashirika kama Emirates huwa yanahitaji waajiriwa wachache wanaoweza kuongea Kiswahili na Kiingereza. Huwa wanaajiri Wakenya kwani wana hiyo sifa.
2. Kukosa ajira nchini. Nyumbani kwenyewe mashirika binafsi wanapenda zaidi wahitimu waliosoma nje kwani wao humudu lugha zote mbili.
3. Kukosa fursa za kusikika ulimwenguni. Mashirika ya habari kama Aljazeera na BBC World service wanapotaka kuongea na mtu wa Afrika Mashariki, kwa Kiingereza, huwa hawachagui Mtanzania. Wataongea na mwalimu wa chuo kikuu Mkenya au Mganda. Hii inafifisha umaarufu wa vyuo vyetu. Vinashuka kwenye viwango rasmi vya ubora duniani.
Ukiweka YouTube kitu kwa Kiswahili maana yake unakilenga kwa watu milioni 200. Ukiweka kwa Kiingereza basi umekielekeza kwa watu zaidi ya mara tano ya hao.
4. Kudumaza elimu. Reading materials mtandaoni sehemu kubwa ni za Kiingereza. Mtu asiyeelewa vizuri Kiingereza tayari anajinyima asilimia kubwa ya maarifa yaliyopo duniani.
5. Kudumaza utalii. Kutosikika kimataifa kunatunyima watalii wengi. Pia wachache wanaokuja wanajikuta hata watu wa uhamiaji na polisi hawawezi kuzungumza nao kwa Kiingereza.
Miaka ya sitini tulikuwa vizuri tu kwenye Kiingereza. Mhitimu wa shule ya sekondari alikuwa anabidika kufaulu Oral and written English.
Napendekeza kwamba:
1. Interview za ajira serikalini zizingatie uwezo wa kusema na kuandika Kiswahili na Kiingereza. Kumudu Kiingereza iwe a condition for employment of ALL civil servants.
2. Kuwe na sera ya wanafunzi shule za sekondari kuongea tu Kiingereza wawapo shuleni. Hii haitadhoofisha Kiswahili kwani watakiongea sana nyumbani na mitaani.
3. Kufaulu kidato cha nne iwe ni pamoja na kufaulu Oral English. Mitihani yake itasimamiwa na shule kama ilivyokuwa miaka ya sitini.
Unamanisha nini "wanatumia kiingereza"kwamba hakifundishwi kwenye hizo nchi?Acha fikra za kitumwa mkuu, China,Russia, German,Korea wanatumia kiingereza??,hizi fikra zetu za kitumwa zinatufanya tuwaze mawazo ya kitumwa na tuishi kitumwa tumwa tu, jinga kabisa
Shida yangu ni hii
Mbona kingereza nchini kinafundishwa kila siku mbona hatukielewi...Tena udhaifu unajionyesha kabisa hata mtaani,Unakuta MTU kang'ang'ania kuandika bango kwa kingereza humo kakosea spelling kiasi cha kujichoresha. Kama we kinyozi mtaani si uandike bango kwa kiswahili after all unanyoa waswahili INA bore sana.Si lazima uandike BARBER Ya nini !