Athari za kukiuka sheria zaitesa CHADEMA kwenye medani ya siasa za Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,836
Kwa maoni ya wabobevu katika siasa za Tanzania, wanaeleza bayana kwamba chama hicho kamwe hakiwezi kuamka wala kufurukuta tena kisiasa nchini Tanzania, na wala hakiaminiki tena mbele ya umma.

CHADEMA imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumechefua wanazuoni wengi, na pia kimedhoofisha ushawishi wake kwa wananchi, na kukimbiwa na maelfu ya wanachama wake wanaojitambua, waliokataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, waliojipenyeza ndani ya chama hicho kwa mgongo wa kufanya siasa.

Kupoteza muelekeo kwa chama hicho kunaelezwa kua funzo kwa vyama vingine vya siasa, vinavyoweza kutekwa nyara kwa kukaribisha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na hatimae kuishia kupigwa marufuku kwa mujibu wa sheria. Chadema masali imechuja mbele ya wafuasi na wanachama wake kiasi kwamba hata viongozi wake ni wazi kama wamechanganyikiwa hivi.

Pamoja na mambo mengine, maanguko ya vyama vya siasa vyenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa umma kama vile NCCR-Mageuzi na CUF zilitokana na viburi, ubinafsi, viongozi waliokosa maono na tabia mbaya na isiyo na faida ya kususia chaguzi. Kwa muktadha huu, chadema ina sifa zote hizo za anguko, ila yenyewe ina nyongeza ya sifa za ziada za anguko lake la kisiasa ambazo ni ukiukaji wa sheria za nchi kwa makusudi, uropokaji, uzushi, uhaini na kua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

Una maoni gani ndugu mdau kuhusu anguko hilo la fedheha la chadema?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwan CHADEMA si ilishakufa

We una izungumzia chadema ipi

Maana magufuli alisema had kifika 2020 upinzan utakuwa umekufa

chadema ipo moyon mkuu haipo mifukoni mwa watu kama ccm
 
Kwani waliua vijana? Genocide hiyo ujue kiongozi🙁

Na bado mamaduro kawaacha uraiani kupitia kwa polisisiemu?
 
Una maisha mengine zaidi ya haya?
Wewe adui wako wakubwa = Katoliki+Kitima+Chadema+Heche+Lissu
Siku ukisikia hawa hawapo duniani ni kama utakuwa umemaliza matatizo yako yoteeeeeeeeeeeee
 
Chizi karogwa tena
 
Hao wabobevu wa siasa hyo maoni waliyatoa kipindi gan au unawasemea maana hatuwasikii mkuu?na kuhusu kukosa ushawishi kwa umma sio kwel maana kama ili Chama Cha siasa kiendelee kuimalika kinanatikiwa kuuza sera zaka kwa wananchi lakin watala hawataki iwe hvo,ndo maana wakisikia2 kuna mkutano au kikakao mbio kupiga virungu sa hapo utasema kimepoteza ushawishi au kinanyimwa nafasi?
 
Una maisha mengine zaidi ya haya?
Wewe adui wako wakubwa = Katoliki+Kitima+Chadema+Heche+Lissu
Siku ukisikia hawa hawapo duniani ni kama utakuwa umemaliza matatizo yako yoteeeeeeeeeeeee
gentleman,
mbona wanilisha maneno kindezi hivyo?

uliowataja ni marafiki zangu wa dhati na ni viongozi wenzangu katika medani siasa humu nchini, lakini pia katika mambo ya kiroho tupo nao sana ingawa kuna unafiki kiasi ndani ya hilo.

So,
tunafahmiana vizuri na tunaheshimiana sana na hao wangwana, hakuna haja ya kuingiza porojo na uzushi kwenye ukweli huu.
 
Kwani waliua vijana? Genocide hiyo ujue kiongozi🙁

Na bado mamaduro kawaacha uraiani kupitia kwa polisisiemu?
chadema hawajaua vijana pekee gentleman, na wazee pia wamedhulumiwa uhai na walinzi katili wa viongozi wa chadema.
mzee kibao walimdhulumu, sigrada pale njombe wakashindwa
 
chadema hawajaua vijana pekee gentleman, na wazee pia wamedhulumiwa uhai na walinzi katili wa viongozi wa chadema.
mzee kibao walimdhulumu, sigrada wakashindwa

Na bado mamaduro hajawafunga kwa murder?
 
Kwani chadema ipo wapi? Msumbiji au mbinguni? Inatumia sheria za alla?
mwisho wa nccr mageuzi na cuf ulikua wa aibu sana ila mwisho wa chadema ni wafedheha sana gentleman
 
 
Wewe shoga ni mshenzi sana. Mjinga wa mwisho fala wewe.
 
Kwan CHADEMA si ilishakufa

We una izungumzia chadema ipi

Maana magufuli alisema had kifika 2020 upinzan utakuwa umekufa

chadema ipo moyon mkuu haipo mifukoni mwa watu kama ccm
Yes,
kwasasa tunapiga srori tu za kwanini ilikufa kindezi vile gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…