Poleni na kazi wadau wa JF.
Kutoka na sababu mbali mbali watu huwa wanabadili kazi sina haja ya kuzitaja maana zinajulikana. Napenda nijue ikitokea mtu kaacha kazi ya taasisi ya serikali na kuomba nyingine ya serikalini pia na kufanikiwa kupata.
Swali langu ni je anaweza tena kupata namba ya mshahara mana hofu yangu jina lake litaonekana kwenye payroll kwamba alikuwepo kipindi cha nyuma?
Karibuni wenye ujuzi na mambo haya.