Athari ya ng'ombe kula kondo baada ya kuzaa

Athari ya ng'ombe kula kondo baada ya kuzaa

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
92
---

🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
❗ ATHARI ZA NG’OMBE KULA KONDO LA NYUMA BAADA YA KUZAA

---

🔍 Tatizo ni nini?
Ng’ombe kula kondo la nyuma ni hali hatari kiafya. Inaweza kusababisha:

---

❌ Madhara kwa Mnyama:
1. 💔 Kupungua kwa utoaji wa maziwa
2. 🌡️ Homa na kukosa hamu ya kula

---

✅ Nini Cha Kufanya?
  • Mpatie antibiotics (kwa ushauri wa daktari)
  • Tumia dawa za kupunguza homa
  • Mchome oxytocin hormon

---

📞 Kwa Matibabu na Ushauri:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 | 0792263640

---

Lishe bora, usafi, na uangalizi – ndiyo kinga ya mnyama wako!
 
Kwanini inatokea baadhi ya Ng'omne kula kondo. Je inatokea kwa bahati mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom