Mbona tangazo halisomeki mkuu?View attachment 472658
Tuma na Picha Mbili (passport size) kwa kada nyingine.
Kwenye Post ya Cabin Crew tuma Picha Nzima Mbili siyo Passport Size Niko hapa Kuwasaidia.
Nenda terminal 1 pale,kozi zote zinapatikana paleHizo course wanasomea wapi aisee? maana naonaga matangazo ya kazi tu za madege
Vijana wanaoshinda vijiweni? Kuna watu naamini wameharibiwa vibaya sana na unazi wa siasa uchwara za Tz. Hizo si nafasi za kazi zinazosubiri wasio nazo. Inawezekana kweli tuna Watanzania wenzetu wanaoamini kabisa kuwa rubani wa ndege ni sawa na dereva wa Yutong au hata bajaj kwa mwenye leseni ya ndege yenye pangaboi moja!Hili tangazo limekaa kikuda. Hata university kubwa hopa ta Tz hakuna inayotoa koz kama izo. Alfu huwezi soma coz izo ukakaa kijiweni eti umekosa kazi.
Must be an Ab initio trained with valid cabin crew license
Save imge kish zoomMbona tangazo halisomeki mkuu?
...hahahahaha...we jamaa unakula sana umeme;Kivipi mbona linasomeka Vizuri au una kisimu cha Tochi?