Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,496
Na siyo ATCL tu.
Sekta nyingi Tanzania huwezi kufanya chochote cha maana mtandaoni kwenye tovuti zao.
Si mabenki si mahoteli.
Kuna siku nilifanya booking/ reservation ya hoteli kwenye tovuti [ya hiyo hoteli] halafu nilipoenda hotelini penyewe eti wakawa hawajui kuwa nilifanya booking.
Hovyo kabisa yaani.
Yaani sasa ndio nimeelewa pale JPM aliposema analeta wataalamu wa haya mambo toka Rwanda. Hawa wetu wamelala sana. Wao ndio walitakiwa wawe mstari wa mbele kupigia kelele haya mambo.Na siyo ATCL tu.
Sekta nyingi Tanzania huwezi kufanya chochote cha maana mtandaoni kwenye tovuti zao.
Si mabenki si mahoteli.
Kuna siku nilifanya booking/ reservation ya hoteli kwenye tovuti [ya hiyo hoteli] halafu nilipoenda hotelini penyewe eti wakawa hawajui kuwa nilifanya booking.
Hovyo kabisa yaani.
Huwezi kuishi kwa kuiga maisha ya mwenzako ishi uwezavyo .View attachment 444243
View attachment 444245
View attachment 444247 View attachment 444249 View attachment 444250
Waangalie hiyo mifano michache. Na wengine mnaweza kuongezea. Kama ni shida sana, basi wa-outsource hiyo issue ya kuendesha website.
Kwani online booking siyo kukata ticket Mkuu?Huwezi kuishi kwa kuiga maisha ya mwenzako ishi uwezavyo .
Sidhani Kama kuna mtanzania ambaye anahitaji huduma zaidi ya kukata tiketi,mambo mengine ni urembo.
unachosema namimi kimenipata hichohicho, nimetizama nauli ni 180,000/= nifanyeje booking? yakawa majanga mengine, zile simu sijui ni za nyumbani kwa Mataka! manake hazipokelewi.Jana jioni niliitikia mwito wa kuwa mzalendo ninunue tiketi ya Air Tanzania mtandaoni, nikahangaika kwa muda maana kuna "window" ilikuwa haikamiliki. Hatimaye nikafanikiwa kuanza booking. Nilipotafuta maelekezo ya kulipa kwa mpesa, nikakuta si makamilifu. Nikapiga namba za mawasiliano walizoweka hapo ili niulize kupata uhakika, namba za simu ya mkononi zikawa hazipatikani, na simu ya mezani (TTCL) ikawa haipokelewi. Hapohapo wadanai niwe nimethibitisha "booking" yangu ndani ya masaa saba ambayo yangekamilika alfajiri ya saa tisa leo. Ikabidi tu nikate Fastjet ili kuwa na uhakika wa muamala huo wa malipo, na ndo natarajia kuondoka nao leo jumamosi saa tano.
ATCL inabidi wawe serious sana mtandaoni.
Kumbe makonda amesema ukweli katika wafanyakazi 200 wa serikali wa maana hawazidi wanne. Ipo haja ya kuwaondoa kazini watumishi walioko serikali na mashirika ya umma tuajiri upya.Hivi wameweka watu wengine au ni wale wale waliokuwepo?
Namuunga mkono Professor Ndalichako kwa vita vyake ya kutimua vihiyo kwenye ajira serikalini na mashirika ya umma. There are too many people who pretend to work but can't really do so. Hazipandi.
Hiyo website ya ATCL kuwa hivyo ni kosa la kutosha kufukuza IT section yote, na hata GM. TUMEDHARAULIWA VYA KUTOSHA.
Huwezi kuishi kwa kuiga maisha ya mwenzako ishi uwezavyo .
Sidhani Kama kuna mtanzania ambaye anahitaji huduma zaidi ya kukata tiketi,mambo mengine ni urembo.
Achana nae huyo jamaa. Inawezekana ni mdau wa ndani na ukweli unaosemwa umemkolea. Mpaka leo hajui biashara ni matangazo. Na matangazo ni urembo kwa %100.Kwani online booking siyo kukata ticket Mkuu?
Mmmmh km ndo hivi we have a long way to goHuwezi kuishi kwa kuiga maisha ya mwenzako ishi uwezavyo .