Naona mmejitahidi kwa ndege za abiria. Ila naona ipo fursa kubwa sana ya mizigo hasa kwenda nchi za arabuni na hata ulaya kwa kuwa tuna mazao mengi ya kilimo na bidhaa zitokanazo na mifugo.
Na kibali cha kuuza hayo mazao Ulaya nani atakupa?
Ndege iliyobeba mbuzi kwa mbwembwe na matangazo hatujasikia tena
Nchi mpaka mmoja atoe amri na ni mara moja litafanyika basi