Aaah ah ah, Boeing itatuzindua usingizini?!tunaleta boeingDREAMLINEAR, bombadierCS300, na Q400, utaelewa tu.
Kama taifa lina sacrifice mambo mengine kwa kununua ndege alafu waliodhaminiwa wanashindwa kusimamia! Inasikitisha!Inatia huzuni na simamanzi ni msiba mkubwa kwa biashara na taifa
Wakiliwahi labda linaweza kusikia dawa!Sikio la kufa .....
Ah ah, bia! Siyo mke na watoto wapendwa?Alafu bado tunasikia hitlafu kila cku mimi nilikuwa nataka kusafir nayo nimeghairi bora nipande fast jet hamna duka la roho na bia zilivyo tamu niziache hiv hiv
Lakini kuna mashirika mengi ya ndege yanayomilikiwa na/kwa kiasi kikubwa na serikali na yanafanya vyema. Mfano Ethiopia, Kenya, Qatar Airways n.kHiyo ndio shida ya serikali kujiingiza kwenye biashara za ushindani. Utakuta ATCL ni kichaka kinachoajiri wake na watoto wa wakubwa ambao hawachangii lolote kwenye ufanisi wa shirika. Hao ndio wanaotumia simu za shirika kuendeleza vikampuni na miradi binafsi, wanatumia computer za shirika kuchat kwenye social media. Baya zaidi watu hao hao hawawezwi kuwajibishwa kwa connections zao!
Mkuu umewapa za usoMimi sitaraji jipya kwenye muundo huu wa utendaji na usimamizi. Masuala ya kitaaluma yanafanyika kisiasa na ya kisiasa yanafanywa kwa nguvu ya dola.
Ingia leo kwenye tovuti ya VETA na NIT, utashangaa na kama huna kitambi unaweza timua mbio. Chuo kinachojinasibu kuwa KINAFUNDISHA IT, website yake iko hoi. Lakini humo humo kwenye page ambazo hazijakuwa updated tangu 2009 utaona mtu kaandika wanafundisha WEB DESIGNING.
Hii ndio Tanzania na hao ndio watendaji wetu linapokuja suala la teknolojia ya mawasiliano. Jana nilienda HELSB kusubmit Payment Details za waajiriwa wa kampuni yetu wanaodaiwa. Nimewekwa kwenye benchi 67minutes nasubiri karani anatafuta taarifa za benki kwenye faili lenye kurasa si chini 200 kwa kalamu. Najiuliza, ufanisi uko wapi na yapi ni mazuri ya IT kwa nchi yetu?
Hapo ATCL si ajabu ukakuta vijamaa fulani vimeajiriwa kufanya wajibu huo. Vyenyewe vitakuwa aidha, vibrazamen au tuzee. Kama ni wazee, I reserve my comments na kama ni vijana basi huwa ni SSK (Suti Safi Kibaruani). Mashati saaafi ya dukani kama waimba kwaya, kikamba kimeshuka shingoni na kutokomea mfuko wa shati na kabeji saaaafi IT. Kazi kuvaa suruali za model na viatu vya kuchongoka mbele, website ya kampuni kichefuchefu. Wanapitapita tu makoridoni wakivuta muda ifike lunch time wakale juice na sambusa 2 kama mademu...pambaf!
Duh, kaka! Umeniongezea pia msamiati mpya, SSK!Mimi sitaraji jipya kwenye muundo huu wa utendaji na usimamizi. Masuala ya kitaaluma yanafanyika kisiasa na ya kisiasa yanafanywa kwa nguvu ya dola.