Malofa chadema ndio zao kuhujumu taifaShirika kama shirika liko sawa na wanajitahidi saana, tatizo lipo katika ushindani wa kibiashara ,chuki ,wivu na kutothamini vya kwetu.
Abiria wanapata matatizo katika mashirika karibu yote ya ndege hapa nchini tena yanayofanana lkn kwingine wanaona ni bahati mbaya ,wavumiliwe na ni hali ya kawaida, ikitokea ATCL lalalala matatizo yote ya FASTJET,P/AIR NK yatalundikwa kwa ATCL ili lionekane limeshindwa.
Tujifanyie clinic sisi wenyewe hivi kweli tunajivunia mafanikio haya, tupo pamoja kwenye changamoto za kibiashara, wapo walioacha kazi na wanapenda kurudi lkn nafasi hakuna kundi hili linachuki.
Wapo ambao wanapenda kona,kona hawataki kuendana na wakati kujiiinua kimafunzo kwa kufuata taratibu sahihi hawa wana wivu.
Tuliunge mkono nila KWETU.
Shirika kama shirika liko sawa na wanajitahidi saana, tatizo lipo katika ushindani wa kibiashara ,chuki ,wivu na kutothamini vya kwetu.
Abiria wanapata matatizo katika mashirika karibu yote ya ndege hapa nchini tena yanayofanana lkn kwingine wanaona ni bahati mbaya ,wavumiliwe na ni hali ya kawaida, ikitokea ATCL lalalala matatizo yote ya FASTJET,P/AIR NK yatalundikwa kwa ATCL ili lionekane limeshindwa.
Tujifanyie clinic sisi wenyewe hivi kweli tunajivunia mafanikio haya, tupo pamoja kwenye changamoto za kibiashara, wapo walioacha kazi na wanapenda kurudi lkn nafasi hakuna kundi hili linachuki.
Wapo ambao wanapenda kona,kona hawataki kuendana na wakati kujiiinua kimafunzo kwa kufuata taratibu sahihi hawa wana wivu.
Tuliunge mkono nila KWETU.[/QUOT
Endelea kutetea shirika mfu hili mana biashara ya ushindani imeshawashinda mmebaki na kauli kama hizi unazotoa wewe kuwa matatizo yapo hadi fastjet ungekuwa unapanda hizi ndege usingetetea ujinga hapa..kiufupi ndege ni mbovu hizi mana kughairi safari na kubadilisha muda wanaotaka wao ni kitu cha kawaida kwao +huduma mbovu na wanajisifu kuwa wapo kwenye soko la ushindani..shame.
Yapo mambo ya vyama na yapo mambo serious ya kulitetea Taifa na Mali zake CCM ni chama dola kisimamie Sera zake na kikubali kukosolewa.Malofa chadema ndio zao kuhujumu taifa
Nashukuru kwa hiki ulichokieleza lkn hebu nijibu hili umetaja ndege CS 300 Kuwa ni mbovu iko HANGA.Nia ya kuleta Uzi huu sio kubeza ATCL kwa vile sisi ni wazalendo tunaeleza ukweli ili kujitathmini. Kama tutafufua ndege ile iliyopo hangani tutaweza kupambana na ushindani.
Wanazifanyaje ndege zetu jamani hawa malofa?Malofa chadema ndio zao kuhujumu taifa
Kurudia chaguzi ndogoFedha inayokusanywa na ATCL inakwenda wapi? na kufanya nn?
Kuna changamoto nyingine ni za kipuuzi kwa mfano Ndege inamsubiri waziri aliyechelewa Airport.Shirika kama shirika liko sawa na wanajitahidi saana, tatizo lipo katika ushindani wa kibiashara ,chuki ,wivu na kutothamini vya kwetu.
Abiria wanapata matatizo katika mashirika karibu yote ya ndege hapa nchini tena yanayofanana lkn kwingine wanaona ni bahati mbaya ,wavumiliwe na ni hali ya kawaida, ikitokea ATCL lalalala matatizo yote ya FASTJET,P/AIR NK yatalundikwa kwa ATCL ili lionekane limeshindwa.
Tujifanyie clinic sisi wenyewe hivi kweli tunajivunia mafanikio haya, tupo pamoja kwenye changamoto za kibiashara, wapo walioacha kazi na wanapenda kurudi lkn nafasi hakuna kundi hili linachuki.
Wapo ambao wanapenda kona,kona hawataki kuendana na wakati kujiiinua kimafunzo kwa kufuata taratibu sahihi hawa wana wivu.
Tuliunge mkono nila KWETU.
Hiyo ni nyepesi inarekebishika,nimewahi shuhudia SSWISSAIR ikimsubiri (late) JK NYERERE hapa D'salaaamKuna changamoto nyingine ni za kipuuzi kwa mfano Ndege inamsubiri waziri aliyechelewa Airport.
Unatetea ujinga kwa hoja za kitoto una ufinyu wa mawazo yani karne hii ya 21 mtu kama wewe unalialia kuwa shirika linaonewa wivu na kuna watu wana husda sasa katika biashara ulitaka ATCL ibaki peke yake ? Afu unataka nitoe ushauri labda uwe mgeni humu kuna mada zimeshaletwa mara nyingi kuhusu hili shirika na watu tumetoa ushauri mara nyingi tu kichekesho ni pale unapowachelewesha abiria wasafiri wengine kisa unamsubiri waziri halafu unakuja kusema wanaonewa wivu..changamsha ubongo huo.Si umeona tatizo kubwa la kiushindani lililojaa wivu na chuki.
Mimi hata hunifahamu unasema natetea ujinga, Mimi hata hunifahamu unasema ningekuwa napanda hizo ndege.
Jifunze kutetea hoja uliyonayo. Kama ni Mtanzania mpenda haki, toa ushauri nini kifanyike
Si umeona faida yake,vinginevyo fedha ingechukuliwa kwenye mikopoKurudia chaguzi ndogo
Anyway kuelewa nacho ni kipaji, kama ilivyo kutukana na kukashifu, vingine vinaletwa na taswira ya MALEZI siwezi kulaumu.Unatetea ujinga kwa hoja za kitoto una ufinyu wa mawazo yani karne hii ya 21 mtu kama wewe unalialia kuwa shirika linaonewa wivu na kuna watu wana husda sasa katika biashara ulitaka ATCL ibaki peke yake ? Afu unataka nitoe ushauri labda uwe mgeni humu kuna mada zimeshaletwa mara nyingi kuhusu hili shirika na watu tumetoa ushauri mara nyingi tu kichekesho ni pale unapowachelewesha abiria wasafiri wengine kisa unamsubiri waziri halafu unakuja kusema wanaonewa wivu..changamsha ubongo huo.
Shirika kama shirika liko sawa na wanajitahidi saana, tatizo lipo katika ushindani wa kibiashara, chuki, wivu na kutothamini vya kwetu.
Abiria wanapata matatizo katika mashirika karibu yote ya ndege hapa nchini tena yanayofanana lkn kwingine wanaona ni bahati mbaya, wavumiliwe na ni hali ya kawaida, ikitokea ATCL lalalala matatizo yote ya FASTJET,P/AIR NK yatalundikwa kwa ATCL ili lionekane limeshindwa.
Tujifanyie clinic sisi wenyewe hivi kweli tunajivunia mafanikio haya, tupo pamoja kwenye changamoto za kibiashara, wapo walioacha kazi na wanapenda kurudi lkn nafasi hakuna kundi hili linachuki.
Wapo ambao wanapenda kona, kona hawataki kuendana na wakati kujiiinua kimafunzo kwa kufuata taratibu sahihi hawa wana wivu.
Tuliunge mkono ni la KWETU.