wapendwa hivi mbona nalipa ada alafu wananambia account ya atc inagoma kudeposit mnavolipa mnafanyaje nisaidien mana mda wa admission unaelekea ukingoni

Lipa kwa posta account number 0260000398 hio lipia mahitaji yote kasoro Bima ambayo ni 50400 hio unalipa kwa Nmb akaunti number 40810032308 Account Name Arusha nhif collection account usisite kuuliza Chochote karibu sana Atc mkuu

tatizo ni kwamba nilijaribu kilipia mfanyakaz wa bank tpb akasema hiyo account ya chuo inagoma kudeposit nhif silipi mwanafnz anacho kitambulisho toka mda mrefu
Lipa kwa posta account number 0260000398 hio lipia mahitaji yote kasoro Bima ambayo ni 50400 hio unalipa kwa Nmb akaunti number 40810032308 Account Name Arusha nhif collection account usisite kuuliza Chochote karibu sana Atc mkuu
Kama ni first year aandike jina lake juu na index number Payment account ni hizo na akimaliza afanye online registration bado dirisha liko wazi very soon watafunga, Yuko selected course gani?