Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 486 Mar 15, 2012 #1 Kuna hii advert ya Airtel Internet on 2.75G yaani dada alivyong'ang'ania mpaka namwonea huruma! Hakuna wa kumpokea!
Kuna hii advert ya Airtel Internet on 2.75G yaani dada alivyong'ang'ania mpaka namwonea huruma! Hakuna wa kumpokea!
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 619 Mar 15, 2012 #2 nani yupo tayari kunyofoka?
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,107 Reaction score 370 Mar 16, 2012 #3 Anayeweza kubali kunyofoka ni MAREHEMU TUUUUUHHHHH