Atakayeshinda si yule atakayetawala

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,956
Aliyepitishwa si yule atakayechaguliwa

Atakayechaguliwa si yule atakayeshinda

Atakayeshinda si yule atakayetawala.
 
Jf kwa kupiga ramri tu ipo vizuri ndio maana wa kina JK hawana habari wanafanya yao tu.
 
Aliyepitishwa si yule atakayechaguliwa

Atakayechaguliwa si yule atakayeshinda

Atakayeshinda si yule atakayetawala.
Hii niliiona youtube akiongea nabii mmoja, uzuri wa unabii hauhitaji kuungwa mkono au kupingwa,
biblia inasema kama ni la kweli litatimia tu,kama ni la kujikinai halitatimia,
Sisi tunaliombea taifa livuke bahari ya shamu.
 
Dkt Samia mpaka 2035! Hiki ni kipindi chake kwa kwanza
 
JK ndio atakayetawala, bila kugombea, bila kushinda na bila kuchaguliwa, labda anaogopa akiachia power atafunzwa somo na yule mnazi wa kitutsi mwenye kisasi kisichoisha aliyepigwa na operation kimbunga miaka ile..
 
Hii statement nimeiskia kwa hawa manabii janja janja wa tik tok jana au juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…