Atakayenifundisha Adobe Photoshop

Atakayenifundisha Adobe Photoshop

Joined
May 8, 2012
Posts
29
Reaction score
4
Nahitaji mtu yeyote anayeifahamu vizuri sana Adobe Photoshop na Adobe PageMaker ili anifundishe. Kwa mawasiliano zaidi niandikie PM.
 
Nahitaji mtu yeyote anayeifahamu vizuri sana Adobe Photoshop na Adobe PageMaker ili anifundishe. Kwa mawasiliano zaidi niandikie PM.

Mkuu achana na Pagemaker ya kizamani, jifunze Indesign, nenda DTP mikocheni opposite na TMJ hospital kama upo Dar utafundishwa kwa uzuri sana.
 
mkuu hiyo adobe ni course tosha watu wanalipa mamilioni ya shilingi i gues ungetafuta tu chuo unachokiamni ukaenda kupata course,pamoja na cheti au kama unataka kufundishwa individualy basi pia unaweza kugoogle au kuangalia tutorial videos online,zaidi ya hapo kumpata mtu akufundishe mwazo mwisho i gues m-pesa lazima itumike kiasi
 
Nahitaji mtu yeyote anayeifahamu vizuri sana Adobe Photoshop na Adobe PageMaker ili anifundishe. Kwa mawasiliano zaidi niandikie PM.

wasiliana na mkuu C6 Jamaa ni choo cha kike. Akiikufundisha lazima utishe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom