Ataka nimalizia haja zake loooo

ahahahaaa...weka picha bana ya hilo dushelele lilivogusa mkono wako...unaweza kuta ni ajali na sie matrafic wa hayo mambo tuanze kupima
 
Angalia uvaaji wako ,jamii inakuonaje ,ulivaa kama uko chumbani kumbe uko kwenye jamii kubali matokeo
 
Angalia uvaaji wako ,jamii inakuonaje ,ulivaa kama uko chumbani kumbe uko kwenye jamii kubali matokeo

tshirt uniform ya ofisi na jinsi
ilikuwa jumamosi na kwa kukuongezea kichwani no weaving no wig nilisuka twende kilioni nywele mbili tu
 
....hakuwa na mvuto tu kwako, kwa wengi "kama haya" ndio yanakuwa mwanzo wa mahusiano.

are u serious???
Hivi tukio kama hilo linakuwa mwanzo wa mahusiano
mhhhh
 
ila jamani tusitanie kwenye dala wannawake saa nyingine anakuwa kafungasha mzigo au nono ya ukweli basi unaparazia ata kidogo....hivi vipedo ndio balaa na hizi pushup bras mie najigonganisha makisudi

mzee wa kugegeda hujambo duh kumbe ndo zako eeee
unagegeda mpaka kwenye bus?
 
mzee wa kugegeda hujambo duh kumbe ndo zako eeee
unagegeda mpaka kwenye bus?

hahaha unajua wanawake nguo zao zinanyegeshaaa sana some times... yaani kipedo alafu papuchi inachoreka kabisa not to mention cleavage all there to see...mwanaume wa kweli lazima nidinde bwana
 
 
tshirt uniform ya ofisi na jinsi
ilikuwa jumamosi na kwa kukuongezea kichwani no weaving no wig nilisuka twende kilioni nywele mbili tu
uvaaji wa jeans sketi au suruali kama suruali jaribu wakati mwingine ujizungushie kanga au mtandio hii itakuepusha na balaa hizi .
 
Reactions: amu
we kiboko ina maana uliikamata doshelele hukusikia utamu kweli ilivyo ya moto.
 
tshirt uniform ya ofisi na jinsi
ilikuwa jumamosi na kwa kukuongezea kichwani no weaving no wig nilisuka twende kilioni nywele mbili tu
unaonekana una umbo taaamu sana.ila pole
 
sijaamini haya maneno mchana, mchana mchana hahahh ingekua usiku ningekuelewa ina maana uliona wewe tu au unataka kusema alikuona wewe tu kwa gari,, au wewe ndo ulikua chaguo lake,,,, ,, , naona kama hadithi ya kutunga vile,, sory my opinion

No! smallvile hii siyo ya kutunga ni kweli ipo, na wanaume wengi wanafanya hasa kwenye madaladala.Hata mm ilinitokea nilipanda daladala la mwananyamala kuna babu mmoja mchaga anavaa kofia na miwani meusi, na wakati wote kalewa, na anapenda sana kupandia pale kinondoni kwa manyanya, akapanda ndani ya basi akaja kusimama nyuma yangu, nilipomuuliza kwa nn anasimama nyuma yangu na basi halijajaa hakunijibu kitu akasogea pembeni na kujifanya kama kalewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…