Atadakwa kama hivi

Atadakwa kama hivi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,301
Reaction score
829,347
Kuna kitu kinaitwa safe exit.... Kwa mfano ukiwa Dar ukafanya majanga utaangalia sehemu salama zaidi ya kutorokea bila kutiwa nguvuni.....
Airport hapafai...

Utaratibu ni mgumu na wanausalama wanaweza kuwa wameshatangulia huko kukusubiri

Njia ya majini nayo si nzuri japo kuna bandari bubu nyingi... Unaweza kutoboa lakini ukishafika kwenye maji makuu utaenda wapi?

Je, utakuwa na chombo cha uhakika kukufanya ustoroway? (Store away)
Kwa vyovyote njia rahisi ni mipaka ya ardhini ambayo ina njia za panya zaidi ya elfu kukufanya utoke salama.

Njia za mipaka ya ardhini ni nzuri kwakuwa ukishavuka tu kama kuna jirani yako mwema kama kamchezo mlikuwa mnapatana atakuja kukupa msaada kwahiyo ukiona umeharibu ni vema kuanza kujisogeza karibu na mpaka ila wakianza tu kukutafuta unasepa kama cha upepo....
Lakini je wakikuwahi wakakurukia?
Motofire... Itakuwa shangwe na vigelegele
tapatalk_1524651625761.jpeg
 
Mmmh mshana kuna muda waga una wasilisha mawazo ambayo mfatano wake ni kama magazijuto haya si rafiki sana kwa wale wapenda umbea. ngoja niwashikie wenzangu siti tu
 
Jf inazingua sana leo. Nahisi ni mchezo wa malaika mkuu watu wasipashane habari kuhusu kesho
 
Apa narefresh inakaa masaa wakati nikiingia mitandao mingine inakubali fasta
 
Mbona JF leo Inzingua sana..?Au ndo mwanzo wa kupunguza kasi ya Mtandao
 
Hii spid ya kinyonga inatia hasira
Jf Leo ilikuwa under cyber attack kwa mujibu wa post ya zitto kulikuwa na DDos attack " distributed denial of service attack "

So internet traffic ilikuwa kubwa mtandao nahisi ilikuwa unajam sana ndo mana ikawa inazingua hata kuaccess
Jf inazingua sana leo. Nahisi ni mchezo wa malaika mkuu watu wasipashane habari kuhusu kesho
 
Back
Top Bottom